Wednesday, 12 August 2015

SIONI MWINGINE LYRICS BY MARTIN MURUNGA

Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu Ila niwewe bwana, uliye juu X2 Mimi nimetembea, Milima na mabonde, Sijaona wa kuabudiwa, Ndani ya bahari, ata nchi kavu baba ,mimi sijaona , wa kuabudiwa Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu Ila niwewe bwana, uliye juu X2 Hapa duniani, yahweh hakuna mwingine baba, wa kuabudiwa ni wewe bwana, uliye juu Kati ya wanadamu yahweh, hakuna mwingine wa kumpenda, Ila niwewe bwana, uliye juu Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu Ila niwewe bwana, uliye juu X2 Hakuna mwingine , kati ya wanadamu yesu, Wa kumsudia niwewe tu bwana, Halleluya, Nikufananishe na nani Bwana. Kati ya wanadamu, Mimi sijaona kamwe, wa kuabudiwa ni wewe yesu, Uliye juu, Wanyama wa porini Bwana, ata ndege wa angani yesu, Hakuna mwingine wa kumwabudu, Ila wewe tu. Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu Ila niwewe bwana, uliye juu X4 [Solo] ila ni wewe bwana, uliye juu X2 ila ni wewe bwana, uliye juu X4 ila ni wewe bwana, uliye juu X3

WEWE NI MUNGU

Wewe ni mungu, haufananishwi,Wewe ni mungu u.

Wednesday, 5 August 2015

ITSHOKWADI LYRICS BY MKHULULI BHEBHE FT JOYOUS CELEBRATION


 Ichokwadi mwari varipo
Ichokwadi mwari varipo
Ichokwadi mwari varipo
Ichokwadi mwari varipo (repeat)

Surely the presence of the Lord is here
Surely the presence of the Lord is here
Oh surely the Lord is here
Oh surely the Lord is here (repeat)

Chorus:
Usarambe kudaiira (Do not refuse to answer)
Usarambe kudaiira (Do not refuse to answer)
Kana Jesu ouya achidaidza iwe (When Jesus is calling you)
Kana Jesu ouya achidaidza iwe (When Jesus is calling you)(repeat)

(Knock Knock/Gogo goyi)

(Chorus)


Ndinofarira Jesu nekuti anondiitira mushe(mushe)
(I like Jesus because he does good things to me)
Ndofarira Jesu nekuti anondiitira bho(bho)
(I like Jesus because he does grand things for me)
Ndofarira Jesu nekuti anondiitira zvose(zvose)
(I like Jesus because he does  everything for me)
Ndofarira Jesu nekuti anondiitira nice(aah nice)
(I like Jesus because he does nice things for me)
Anondiitira nice(nice),Anondiitira nice(nice)
Nice(nice),Nice(nice),Nice(nice)

(Chorus)

(Knock Knock/Gogogoi)

NIACHE NIIMBE LYRICS BY PITSON



Siku moja mama nitakujengea , Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki

Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki

Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za mziki

Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki



[Refrain]

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba

na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba

Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba

Oh  popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.

Mama na baba naomba mniache niimbe 

Niache niimbe X3

Shule nitaenda lakini mniache niimbe

Niache niimbe X3

kazi nitafanya lakini mniache niimbe

Niache niimbe X3

Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili

Niache niimbe X3


Mungu ni mwaminifu X4

Hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya,


Wengine wanauza nguo gikosh

Wenginewanashona ah,

Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona.

Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D,

 ma H.U.S.T.L.E.R maustler



[Refrain]