Wednesday, 5 August 2015

NIACHE NIIMBE LYRICS BY PITSON



Siku moja mama nitakujengea , Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki

Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki

Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za mziki

Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki



[Refrain]

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba

na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba

Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba

Oh  popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.

Mama na baba naomba mniache niimbe 

Niache niimbe X3

Shule nitaenda lakini mniache niimbe

Niache niimbe X3

kazi nitafanya lakini mniache niimbe

Niache niimbe X3

Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili

Niache niimbe X3


Mungu ni mwaminifu X4

Hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya,


Wengine wanauza nguo gikosh

Wenginewanashona ah,

Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona.

Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D,

 ma H.U.S.T.L.E.R maustler



[Refrain]


No comments:

Post a Comment