Wednesday, 12 August 2015
SIONI MWINGINE LYRICS BY MARTIN MURUNGA
Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu
Ila niwewe bwana, uliye juu X2
Mimi nimetembea, Milima na mabonde,
Sijaona wa kuabudiwa,
Ndani ya bahari, ata nchi kavu baba
,mimi sijaona , wa kuabudiwa
Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu
Ila niwewe bwana, uliye juu X2
Hapa duniani, yahweh hakuna mwingine baba,
wa kuabudiwa ni wewe bwana, uliye juu
Kati ya wanadamu yahweh, hakuna mwingine wa kumpenda,
Ila niwewe bwana, uliye juu
Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu
Ila niwewe bwana, uliye juu X2
Hakuna mwingine , kati ya wanadamu yesu,
Wa kumsudia niwewe tu bwana, Halleluya,
Nikufananishe na nani Bwana.
Kati ya wanadamu, Mimi sijaona kamwe,
wa kuabudiwa ni wewe yesu, Uliye juu,
Wanyama wa porini Bwana, ata ndege wa angani yesu,
Hakuna mwingine wa kumwabudu, Ila wewe tu.
Sioni mwingine mimi, Wa kuabudu
Ila niwewe bwana, uliye juu X4
[Solo]
ila ni wewe bwana, uliye juu X2
ila ni wewe bwana, uliye juu X4
ila ni wewe bwana, uliye juu X3
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment